Hizi ndio filamu zangu bora kwa mwaka huu wa 2012...."Hemedy Suleiman aka PHD"
(A)THE WAITER (B)RED
CROSS (C) SHORT CUT (D) HOUSE MAID...IPI unadhani nilifanya vizuri
zaidi???maoni yako ndio nguvu yangu ya kutengeneza kitu kizuri
kesho....nawapenda sana#teamPhdeeee
1 comment:
movie zote katisha
Post a Comment